Kikipsigis

Kikipsigis ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wakipsigis, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikipsigis imehesabiwa kuwa watu 1,916,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikipsigis iko katika kundi la Kinilotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy